July 16, 2018





Mshindi wa promosheni ya AMSHA AMSHA USHINDE NA AIRTEL MONEY Rashid Mazoea akionyesha zawadi yake ya simu aina ya smartphone na Meneja Uhusiano SportPesa Tanzania Sabrina Msuya wakati wa kuwazadia washindi wa promosheni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kwenye promosheni hiyo, wateja wa Airtel wanajishindia zawadi mbali mbali kwa kuweka kisha kubashiri kwenye akaunti ya SportPesa 150888. Kushoto ni Meneja Uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mbando na kulia ni Meneja Uhusiano SportPesa Tanzania Sabrina Msuya.





Mshindi wa promosheni ya AMSHA AMSHA USHINDE NA AIRTEL MONEY Fredy Kaduma akifurahi zawadi yake ya simu aina ya smartphone baada ya kukabidhiwa wakati wa kuwazadia washindi wa promosheni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kwenye promosheni hiyo, wateja wa Airtel wanajishindia zawadi mbali mbali kwa kuweka kisha kubashiri kwenye akaunti ya SportPesa 150888. Kushoto ni Meneja Uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mbando na kulia ni Meneja Uhusiano SportPesa Tanzania Sabrina Msuya. 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic