Meneja Uhusiano SportPesa Sabrina Msuya na yule wa Airtel, Jackson Mmbando wakizungumza na mmoja ya washindi wa droo ya pili ya promosheni ya AMSHA AMSHA USHINDE NA AIRTEL MONEY leo jijini Dar es Salaam.
Kwenye promosheni hiyo, wateja wa Airtel wanajishindia zawadi mbali mbali kwa kuweka kisha kubashiri kwenye akaunti ya SportPesa 150888.
0 COMMENTS:
Post a Comment