Kipa mpya wa Simba, Deogratius Munish maarufu kama Dida amekamilisha moja ya ndoto yake muhimu baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi.
Dida amekamilisha hili wikiendi hii baada ya kumalizana na mpenzi wake huyo ambaye sasa ni mkewe.
Dida amerejea nchini na kujiunga na Simba ambayo aliwahi kuichezea kabla ya kuhama na kujiunga na Azam FC, Mtibwa Sugar na baadaye Yanga.
Kabla ya kurejea Sima, Dida alikuwa anakipiga katika kikosi cha Pretoria University kinachoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Afrika Kusini.

0 COMMENTS:
Post a Comment