July 2, 2018


Mshambuliaji mpya wa Simba, Meddy Kagere anataa kufunga siku ya kwanza akiichezea Simba.

Kagere  aliyejiunga na Simba akitokea Gor Mahia ya Kenya amesema furaha yae kuu ni kufunga mabao au kusaidia timu yake ipate ushindi.

Kagere raia wa Rwanda mwenye asili ya Uganda, ndiye kati ya wachezaji walioiua Simba katika fainali ya SportPesa Super Cup.


Kagere ameiambia SALEHJEMBE kwamba furaha yake kuu itakuwa ni kufunga bao siku akianza na bahati nzuri, leo ameanza katika michuano ya Kombe la Kagame.

“Napenda sana kufunga, ndiyo furaha yangu. Ningependa kufunga kama nitapata nafasi ya kuanza,” alisema


1 COMMENTS:

  1. Katimiza matamanio yake na tunamtakia kila la heri akiwa na Simba. Goli la leo ni la kwanza tu na mengineo yatafuata na tunamtaka awaoneshe akina Yanga waliomkimbia jinsi ya kutandaza mpira wakati watapokutana uzi mmoja na Okwi, Bocco, Kichuya na wengineo wengi. Katibu Baba

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic