July 3, 2018




Mechi ya hatua ya 16 Bora kati ya England na Colombia imeingia katika nyongeza ya dakika 20.

Hii ni baada ya mechi hiyo ya Kombe la Dunia kuisha kwa sare ya bao 1-1 katika dakika 90.

Kipute kinaendelea na bado mashambulizi ni kila sehemu na hakuna uhakika wa nani atashinda.


Zikiisha dakika 30, maana yake ni mkwaju ya penalti.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic