July 3, 2018

MBUNGE wa Korogwe Vijijini (CCM) mkoani Tanga, Steven Ngonyani maarufu Profesa Majimarefu alifariki dunia jana Jumatatu Julai 2, 2018 usiku katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.


Taarifa za kifo cha mbunge huyo zimethibitishwa na ofisa uhusiano wa Muhimbili, Aminiel Eligaeshi Wabunge Mbali mbali wamegugwa na Msiba huo na kupitia katika Kurasa zao za mitandao ya kijamii wameandika kuhusu Proffesa maji marefu . Juni 20, 2018 Majimarefu alihamishiwa kwa ndege kutoka mkoani Dodoma kwenda MNH kwa matibabu huku ugonjwa uliokuwa ukimsumbua mbunge huyo haujawekwa wazi. Juni 6, 2018 mbunge huyo alifiwa na mkewe, Mariam aliyekuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali hiyo hiyo ya Muhimbili

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic