July 6, 2018


Baada ya mapumziko ya siku mbili huko Russia, michuano ya Kombe la Dunia inawasha moto tena leo katika hatua ya robo fainali ambapo mechi mbili zitapigwa.

Mechi ya kwanza itakayoanza majira ya saa 11 jioni itakuwa inawakutanisha Uruguay dhidi ya Ufansa na baadaye saa 3 usiku Brazil watakuwa wanacheza na Ubelgiji.

Hatua hiyo ya robo inasubiliwa kwa hamu kubwa na wadau wengi wa soka duniani kutokana na namna kila timu kuwa na hitaji la kupata matokeo ili kusonga mbele hatua inayofuata.

Baada ya mechi za leo, kesho Sweden watakuwa wanakipiga na England huku wenyeji Russia wakicheza na Croatia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic