July 14, 2018





Kiungo nyota wa Atletico Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Jorge Resurrección Merodio maarufu kama Koke, ameonyesha kushangazwa na Simba wa mbuga za wanyama za Ngorongoro.

Koke na baby wake, wako nchini Tanzania wakila raha.



Kiungo huyo anaonekana akiwa amepiga picha na Simba huyo ambaye amepumzika pembeni yake.


Koke ameongozana na mpenzi wake kwa ajili ya mapumziko na wako kwenye mbuga za wanyama za Manyara mkoani Manyara.


Kiungo hiyo aliyekuwa Urusi na Hispania kabla haijatolewa, ametembelea Ngorongoro na picha zinaonyesha akiwa ni mwenye furaha pamoja na mpenzi wake.



1 COMMENTS:

  1. Tanzania yapendeza wageni wa world class kuja Tanzania vitu vya kujivunia. Lakini kiongozi mkuu wa nchi alipoamua kuboresha huduma za wageni hao wanokuja nchini kuendana na mahitaji yao wanafiki wanaojifanya wanauchungu na nchi walipinga hadi kupelekea kuingiza figisu kwa ndege tarajiwa ya tz kuzuiwa ughaibuni ni moja kati ya tamthimlia za ajabu na giza za kisiasa Tanzania.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic