Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Hussein Nyika, umefunguka na kueleza sababu za kumkataa beki Elisha Muroiwa waliyepewa na Singida United.
Nyika amesema Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amesema hana mpango na beki huyo Mzimbambwe kutokana wachezaji walionao kujitosheleza.
Aidha, kwa mujibu wa Nyika, Zahera amesema Muroiwa asingeweza kupata nafasi Yanga sababu hakuwa kwenye mapendekezo yake hivyo akaona ni vema akarejea kuendelea na mkataba na klabu ya Singida.
"Unajua timu inaposajili mchezaji inakuwa ina lengo naye kuwa namna ipi atumike, sasa klabu kama Yanga ni kubwa, haiwezi ikatokea tu inaletewa mchezaji ambaye hakuwa katika mipango ya mwalimu" alisema Nyika.
Singida United kupitia kwa Mlezi wake, Mwigulu Nchemba, iliamua kuwasaidia Yanga mchezaji huyo kutokana na kuwa katika kipindi cha mpito ili aweze kuwa sehemu ya kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria japo mwisho wa siku msaada huo umegonga mwamba.
Daaaah Mimi n mzungu naishi ukrain ila bongo napenda kuangalia usenge kama uuh maana nafraigi bure. This is bongo football not separated from politics
ReplyDeleteDaaaah Mimi n mzungu naishi ukrain ila bongo napenda kuangalia usenge kama uuh maana nafraigi bure. This is bongo football not separated from politics
ReplyDeleteSawa mzungu
DeleteWewe ni mzungu unaeishi Ukraine au msenge unaeishi Ukraine???
DeleteMzungu unaejua matusi
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteKLABU YA YANGA INAHUJUMIWA YAANI KUNA "KIRUSI" PALE YANGA SIJUI NI NANI INAWEZEKANA MTANDAO HUU UMESUKWA KWA MUDA MREFU...UNAMUHUSISHA KOCHA MWINYI ZAHERA, HIVI HUYU KOCHA ATAWEZAJE KUKATAA BEKI AMBAYE ANAKUJA KUZIBA MAPENGO YA NAMBA 2 NA TANO? UNAACHA WACHEZAJI, HALAFU UNAPEWA BEKI MZIMBABWE BURE HALAFU UNAMKATAA...KWELI? HAYA UNAWAACHA WACHEZAJI AMBAO WAMEKUHUDUMIA MSIMU MZIMA KWA KUTOLIPWA MSHAHARA.....BADO HAUJAFANYA USAJILI WA KUZIBA MAPENGO YA WACHEZAJI WALIONDOKA...BEKI NAMBA 2 NA 5, WASHAMBULIAJI NAMBA 9, 10, 11, KIUNGO NAMBA 6....HALAFU UNATAKA WATANZANIA ASILIMIA 55% AMBAO NI WAPENZI WA KLABU WAJE UWANJANI, KUANGALIA TIMU IPI? NATABIRI MAPATO YA UWANJANI KUPOROMOKA, HAMASA YA KWENDA KWENYE MECHI KUPUNGUA....HATIMA YA SOKA LA TANZANIA KUPOROMOKA..
ReplyDeleteMwigulu ujamaliza mawazo ya uwaziri unajipa mawazo nayanga
ReplyDelete