August 9, 2018



 Pamoja kumtambulisha kocha mpya, African Lyon imemtambulisha mshambuliaji mpya aitwaye Victor Da Costa.

Imeelezwa mshambuliaji huyo naye ni raia wa Ufaransa na tayari ameanza mazoezi na kikosi cha Lyon kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji huyo pia anaweza kucheza nafasi ya kiungo mshambuliaji na ameonyesha kujiamini akisema ataleta mabadiliko katika ligi ya Tanzania.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic