August 29, 2018


Cristiano Ronaldo Junior, mtoto wa mwanasoka nyota duniani, Ronaldo, anayeichezea Juventus, amejiunga na kikosi cha watoto walio chini ya umri wa miaka tisa cha klabu kwa ajili ya mafunzo ya soka yanayojulikana kama  Pulcini 2010.

Kwa mujibu wa  Calciomercato ambaye ni  ‘mshikaji’ wa Ronaldo, mtoto huyo alicheza na watoto wengine wa watu maarufu na alionyesha umahiri mkubwa.

Kituo hicho kilianzishwa, miongoni mwa malengo yake,  kuendeleza vipaji vya watoto ambao baba zao nao walikuwa nyota wa soka.

Baba yake alijiunga na Juventus msimu huu baada ya kukaa kwa mafanikio makubwa na klabu yaReal Madrid.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic