August 28, 2018


Kikosi cha Yanga kinaondoka usiku huu kuelekea Kigali, Rwanda kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Rayon Sports, utakaopigwa Agosti 29 2018.

Msafara huo utajumuisha jumla ya watu 25 ukiwa na wachezaji 17 pamoja na viongozi 8 tayari kwa safari hiyo.


Watakaosafiri ni:-

Magolikipa 
1. Beno Kakolanya
2. Ramadhan Kambwili

Mabeki 
3. Gadiel Michael
4. Kelvin Yondan
5. Andrew Vincent 
6. Abdallah Shaibu
7. Pato Ngonyani

Viungo
8. Raphael Daud
9. Deusi Kaseke
10. Pius Buswita
11. Emmanuel Martin
12. Said Musa
13. Yusufu Mhilu

Washambuliaji 
14. Ibrahim Ajibu
15. Heritier Makambo
16. Yohana Mkomola
17. Matheo Antony

2 COMMENTS:

  1. Naona hawajakamilika. Mastaa wawili watatu hawamo au ndoo nao wameshaingia mitini

    ReplyDelete
  2. Kigali ni nyumbani kwetu, tumezoea kupiga bao huko huko!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic