Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, leo amewatoa nje ya kikao baadhi ya maofisa wa Jeshi la Zimamoto jijini Dodoma baada ya kushindwa kujitambulisha kwa ufasaha kuhusu vyeo vyao na kazi zao.
Kikao hicho kilifanyika katika bwalo la kikosi cha kuzuia ghasia (FFU).
0 COMMENTS:
Post a Comment