August 12, 2018




Ambokile Saleh Iddi, Mkazi wa Vingunguti anayejishughulisha na biashara ya kuuza mkaa wa rejareja alivyoweza kuongeza mtaji kwa kuweka ubashiri wa shilingi elfu moja tu (1000) na kuweza kujishindia laki nne, sitini na tatu elfu mia nne themanini na nane (463,488) ambazo alizitumia kununua gunia 10 za mkaa kwa ajili ya kuendeleza
biashara yake.

Alicheza na SportPesa kwa njia ya multibet na kubashiri mechi 6 kwa elfu moja tu, “Mimi ni mpenzi wa soka huwa nafuatilia mpira mara kwa mara, hivyo ilikuwa rahisi
kwangu kuzipa timu nilizoziamini kushinda na kweli zikashinda”.


Hii si mara yangu ya kwanza kushinda nimekuwa nikishinda kiasi kidogo cha hiki alichoshinda wakati huu kama elfu thelathini na mbili (32,000) na elfu arobaini na tatu (43,000).

“Mechi nilizobashiri kwa njia ya SMS siku hiyo zilikuwa zinamalizika usiku saa 5 usiku, muda huo nilikuwa nimeshalala. Nlivyoamka alfajiri wakati wa kufanya mazoezi
nikakutana na ujumbe mfupi wa maneno (sms) kutoka SportPesa ukinipongeza kwa kushinda na ubashiri wangu na pesa iliingia papo hapo baada ya mechi kuisha.”


“Kwakweli naishukuru sana SportPesa kwani kwa pesa ile niliweza kununua magunia 10 ya mkaa na mtaji wangu umeongezeka.”

“Kipato changu kwa siku ni elf thelathini (30,000) hivyo pesa hizo nlizoshinda ni zaidi ya mara 15 ya kipato changu cha siku” alisema Ndugu Ambokile.

“Nawashauri Watanzania wenzangu wacheza na SportPesa kwani SportPesa inalipa. Mimi kwa uwezo wangu mdogo nliweka elfu moja na nkajishindia laki nne, ukiweka
Zaidi ya hapo mfano elf 20 utakuwa umejishindia kiasi kikubwa Zaidi ya hiki,” alisema Ambokile.

Kucheza SportPesa

Ili kujiunga na kundi kubwa la washindi wa SportPesa, tuma neno SOKA kwenda 15888 kujisajili piga *150*87# au bofya www.sportpesa.co.tz kubashiri mechi kali kila siku
kuanzia Sh. 1000 TU ukiwa na simu yoyote ya mkononi.

Kwa msaada zaidi jinsi ya kucheza na SportPesa piga simu nambari 0692 115588, 0764 115588 au 0685 115588 kuwasiliana na kitengo cha huduma kwa wateja ili uweze
kupata usaidizi masaa 24 kila siku.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic