August 28, 2018


Kikosi cha Yanga kimewasili salama huko Kigali, Rwanda kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Rayon Sports kesho Jumatano.


Yanga itashuka dimbani kusaka heshima pekee baada ya kutokana na kutokuwa na nafasi tena ya kusonga mbele kwenye kundi D.


Katika Kundi hilo Yanga mpaka sasa imekalia mkiani ikiwa na alama 4 pekee huku Gor Mahia wakiwa nafasi ya kwanza, USM Alger wakishika namba mbili na Rayon wakiwa nafasi ya tatu.

2 COMMENTS:

  1. Kibabe gani hicho muandishi, Kwano wao ni wa kwanza gurupu yao au kwakuwa wameishinda Mtibwa msjeruhi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ukiwa huna cha kuandika bora ukae kimya kiswahili kwanza kibovu. Yanga wameenda kukamilisha ratiba hiyo inajulikana. Mwandishi akiamua kuuza habari yake atumie maeno anayotaka ujue chochote kihusuyo Yanga ni habari inayouza taarifa.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic