RAPA maarufu Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ amefunguka baada ya ku-perform shoo yake kwenye Tamasha la Simba day linalofanyika leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
RAPA CHID BENZ AFUNGUKA BAADA YA SHOO SIMBA DAY, AIGUSIA YANGA
RAPA maarufu Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ amefunguka baada ya ku-perform shoo yake kwenye Tamasha la Simba day linalofanyika leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Nawapongeza kwa kazi nzuri sana ndugu
ReplyDelete