August 24, 2018


Bodi ya Ligi Tanzania kupitia TFF imefanya mabadiliko ya mchezo kati ya Simba SC na Mbeya City ya Mbeya uliokuwa uchezwe Jumamosi Agosti 25 2018.

Mchezo huo utachezwa siku ya Jumatatu tarehe 27 Agosti 2018 saa 12:00 jioni kwenye Uwanja Mkuu wa Taifa jijini Dar es salaam.

Mabadiliko haya yametokana na Uwanjani wa Taifa kufanyiwa maandalizi kwa mchezo wa fainali ya mashindano ya Cecafa U17 ambao utachezwa tarehe 26.08.2018 (Jumapili)



3 COMMENTS:

  1. Tff mmeanza kuyumbisha ratiba kwani mlipokuwa mkipanga ratiba hamkuzingatia hayo ya maandalizi ya uwanja na fainali hiyo?

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli tff hii ni kimeo panguapangua ratiba kila baada ya Massa kama ratiba hawakupanga wao? Mwaka huu si ajabu tukashuhudia mechi ikichezwa dk 45 zakwanza kisha ikaghailishwa ili kupisha matumizi mengine ya uwanja

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli tff hii ni kimeo panguapangua ratiba kila baada ya Massa kama ratiba hawakupanga wao? Mwaka huu si ajabu tukashuhudia mechi ikichezwa dk 45 zakwanza kisha ikaghailishwa ili kupisha matumizi mengine ya uwanja

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic