Mkali wa Rap, Farid Kubanda ‘Fid Q’ au Ngosha The Don ameachia ngoma yake mpya yenye jina la Kiberiti ambayo amemshirikisha msanii wa nyimbo za mahadhi ya asili, Saida Karoli. Wimbo huo wenye dakika 7 ameelezea mambo mengi yanayohusu maisha ya mwananchi wa kawaida.
WIMBO MPYA WA FID Q FT. SAIDA KAROLI – KIBERITI, YUMO BASHITE NA GWAJIMA
Mkali wa Rap, Farid Kubanda ‘Fid Q’ au Ngosha The Don ameachia ngoma yake mpya yenye jina la Kiberiti ambayo amemshirikisha msanii wa nyimbo za mahadhi ya asili, Saida Karoli. Wimbo huo wenye dakika 7 ameelezea mambo mengi yanayohusu maisha ya mwananchi wa kawaida.
0 COMMENTS:
Post a Comment