September 17, 2018

Hit maker wa ngoma ya 'why', Benpol, amesimulia jinsi ambavyo aliweza kutokwa na machozi baada ya kuona post ya Mbongo Fleva kutoka WCB, Harmonize, katika ukurasa wake wa Instagram akimsifia na kumpongeza kutokana na kipaji chake, kitu ambacho ni kigumu wasanii wengi kupongezana.

Benpol ambaye ngoma hiyo ya WHY ameshirikiana na Harmonize, amesema anatarajia kolabo hiyo itakwenda kutoboa anga kimataifa kwani wote wawili ni wasanii wakubwa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic