September 28, 2018


Jumapili kutakuwa na mechi kali ya Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Tayari kumekuwa na tambo nyingi kutoka kwa mashabiki wa timu zote huku kila mmoja akiamini kuwa timu yake ina uwezo wa kupata ushindi.

Wakati mashabiki wa Simba wakitishia kuifunga Yanga bao 5-0 kwa awamu ya pili, Yanga nao wamekuwa wakijibu mapigo.

Tazama video hapa



3 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic