September 29, 2018


Haji Manara. Jamaa ni kama kaapishwa na kanywa maji ya bendera ya Simba. Humuelezi kitu kuhusu Simba. 

Ni shabiki wa kutupwa wa Simba. Sasa najiuliza, hivi baba zake Sunday Manara (baba yake mzazi), Kitwana Manara na Kassim Manara ambao hawa ni Yanga damu na walichezea Yanga enzi zao, walishindwa kumshawishi mwanao kuwa upande wao??

Ningependa sana siku Sunday Manara na hao Manara wengine wahojiwe na watueleze ilikuaje kuaje mpaka Haji akahasi maana nina uhakika walijaribu kila wawezalo ila ilishindikana'.

Nimoja kati ya maswali mengi ambayo wanamichezo wengi hasa Mashabiki wa Mpira waTanzania wamekuwa wakijiuliza.

3 COMMENTS:

  1. huyo ni yanga ni ajira tu imempeleka msimbazi

    ReplyDelete
  2. Niliwahi kusikia kuwa hapo utotoni kwake na huku baba yake akijitayarisha kwenda kuichezea timu yake yanga, alichukuwa buti za baba yake na kuzitumbikiza ndani ya ndoo ya maji.

    ReplyDelete
  3. Manara yupo sahihi ila sunday kassim na kitwana walipotea njia.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic