BREAKING: HAJI MANARA AKAMATWA NA JESHI LA POLISI
Msemaji wa Simba, Haji Manara anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa Mahojiano.
Manara anashililiwa katika kituo cha Polisi cha Mburahati jijini Dar es Salaam ambako aliitwa kwa mahojiano.
Imeelezwa inahusiana na kutoa taarifa za Mo Dewji ambaye ametekwa na upande mwingine umesema ni sehemu tu ya kazi za Polisi.
Kama manara kakamatwa na polisi basi polisi ndio wakutoa tamko juu ya umatwaji huo angalia usije na wewe ukaingia kwenye matatizo kwani unaweza kuamsha vurugu za bure kumbe Manara kaitwa kuhojiwa sio kakamatwa . Ni vizuri kuwajuvya watanzania habari mbali mbali kama mnavyofanya lakini blog hii ilikuwa ndio blog mama kuwajuvya watanzania habari za michezo lakini inaonekana mnapotea. Mechi kama hii ya leo ya Taifa Stars kwa kawaida mngekuwa mnarusha laivu lakini mpotea na mtazidi kupotea.
ReplyDelete