KIKOSI CHA TAIFA STARS KITAKACHOCHEZA DHIDI YA CAPE VERDE LEO Kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza dhidi ya Cape Verde leo kuelekea kufuzu AFCON 2019.
Kikosi kimekaa kuzuia zaidi, nadhan angeweka mido anaenyumbulika awape mipira strikers zaidi ingependeza
ReplyDeleteWapi mkude,jamani,hapo kati mbona sipaelewi??haya tumuombe mungu
ReplyDeleteHapana kiungo hakijakaa vizuri kabisa
ReplyDeleteWapi, mkude ajibu na kichuya! ?? ?
ReplyDelete