October 2, 2018


Mjasiriamali maarufu Afrika Mashariki na Kati, Zarina Hassan maarufu kwa jina la Zari The Bossy Lady,  ameibua maswali baada ya kumu-wish heri ya siku ya kuzaliwa baba watoto wake ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zari ameweka picha ya watoto aliozaa na Diamond ambao ni Tiffah na Nillan na kuandika; “Happy birthday mwenye vikima vyake.”


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic