MECHI KALI LIGI KUU LEO JUMAPILI
Moto wa ligi kuu Tanzania Bara bado hauzimwi na leo kutakuwa na mechi katika viwanja tofautitofauti kazi kubwa ikiwa ni kutafuta point tatu ,mechi kali za leo ni hizi hapa:-
Simba s Stand United,Uwanja wa Taifa,Dar es Salaam.
Lipuli VS Kagera Sugar,Samora,Iringa.
Mbao FC VS Mtibwa Sugar,Kirumba,Mwanza.
0 COMMENTS:
Post a Comment