MKONGO ASEPA NA KIJIJI DAR LIVE !!!
Baada ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa Muziki wa Dansi, hatimaye mashabiki wameshuhudia rekodi ya muziki huo kutoka kwa Mfalme wa Muziki wa Dansi, Nyoshi El Saadat kwa kupiga nyimbo 15 mfululizo za bendi yake mpya ya Bogoss Musica ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
0 COMMENTS:
Post a Comment