TFF YATOA TAMKO JUU YA SAUTI ILIYOSAMBAA KUHUSU MANARA KUFUNGIWA, YATOA ONYO KALI
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa tamko kuhusiana na sauti bandia iliyoelezwa kuwa ya Rais Wallace Karia iliyosikika ikitangaza kumfungia Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, kujihusisha na masuala ya soka.
Duuuuuuu
ReplyDeleteJamaa kiboko yao. Ndio maana wanamzulia kila siku.
ReplyDelete