Kocha wa Monaco, Thierry Henry ameanza vibaya mchezo wake wa kwanza baada ya kufungwa na Strasbourg bao 2-1. Mabao ya Strasbourg yamefungwa na Adrien Thomasson na Lebo Mothiba.
Monaco baada ya kichapo hicho wametupwa nafasi ya pili kutoka katika mkia wa msimamowa Ligi ya Ufarance.
0 COMMENTS:
Post a Comment