Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, jana Oktoba 13, amefunga tamasha la Urithi Festival.
Kilele cha tamasha hilo kimefanyika mkoani Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa huo, Mrisho Gambo.
Tamasha hilo limehudhuriwa pia na baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva akiwemo Jux, Nandy, Bushoke, Alikiba na msanii mkongwe wa nyimbo za asili, Mrisho Mpoto.
0 COMMENTS:
Post a Comment