VIDEO: KILICHOPELEKEA SIMBA WAKABANWA NA YANGA HIKI HAPA
Baada ya kumalizika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) kati ya Simba Vs Yanga, uliopigwa Septemba 30, 2018, wakiongozwa na mtangazaji wa Azam TV, Patrick Nyembela, wachambuzi Ally Mayay na Dominick Salamba, waelezea udhaifu na ufanisi uliooneshwa na timu zote mbili.
KUNA KITU AMEJICHANGANYA HAPO KWENYE OFF SIDE NA HIYO INTENTIONAL NA UNINTENTIONAL HAIPO NA AMETUMIA TAFSIRI YA KIZAMANI SANA
ReplyDeletea new interpretation of the offside rule, the attacker playing the
ball, then the defender simply misplaying the ball and the ball going to another attacker, who was in an offside position when the ball was originally played by the attacker. Considered offside in the past, now considered onside.
https://www.socceramerica.com/publications/article/71513/offside-decisions-defenders-deliberate-play-vs.html