October 1, 2018

'KAPO' ya wanamuziki Bongo wanaounda kundi la Navykenzo yaani Aika na Nahreel wamefungukia tetesi zinazozagaa mitandaoni kuwa kwa sasa wamesainiwa kwenye Lebo ya Mbongo Fleva Diamond Platnumz 'WCB' na ndio maana imekuwa rahisi kwao kufanya nae kolabo ya wimbo wa 'Katika' ambao ni tishio sokoni kwa sasa..

Navykenzo wamekanusha tetesi hizo na kusema wao wamesainiwa na Mmoja kati ya mameneja wa Diamond anayeitwa Sallam SK na si Diamond mwenyewe.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic