VIDEO: WACHEZAJI SIMBA, YANGA, WATAJA SABABU ZA KWENDA SULUHU YA 0-0
Beki wa Yanga Gadiel Michael na mwenzake wa Simba Mohamed Hussein, waeleza sababu zilizopelekea timu zao kutoka suluhu kwenye mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) timu zao zilipovaana Septemba 30, 2018.
0 COMMENTS:
Post a Comment