VIDEO: HII NDIYO SABABU YA BAO LA SIMBA KUKATALIWA
Ally Mayay na Dominick Salamba wakichambua kwa michoro namna offside ilivyopatikana, goli lililokataliwa la Okwi kwenye mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), Septemba 30, 2018, kati ya Simba Vs Yanga.
kuna kitu hao wachambuazi hawajakiona na wakitaka warejee goli la Harry Keane dhidi ya Liverpool
ReplyDeleteMpira umetoka kwa Abdala Shwaibu Ninja haiwezi kuwa offside.Refa msaidizi Chacha hakuona mpira umeguswa na nani mwisho. Goli halali kabisa .
ReplyDeletehuyo mayay anachambua kiyanga zaidi naona yanga walijua kuwa hawawezi muziki wa simba wakaamua wacheze na refa
ReplyDelete