YANGA YAIFUNGA ALLIANCE BAO 3-0, TAIFA...MAKAMBO, AJIB NA NGASSA WATUPIA
TIMU ya Yanga wameibuka na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Alliance leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar. Mabao ya Yanga yamefungwa na Heritier Makambo, Mrisho Khalfan Ngassa na Ibrahim Ajibu.
Yanga wamefikisha pointi 19 na kutinga katika nafasi ya pili huku Azam FC wakiwa na pointi 21 katika nafasi ya kwanza.
0 COMMENTS:
Post a Comment