November 23, 2018


N’Golo Kante amesaini mkataba mpya na Chelsea ambao utakuwa ni wa miaka mitano.

Mkataba huo mpya na Chelsea, utamuwezesha Kante kuwa anachopa pauni 290,000 kila wiki.


Hivi karibuni, ilielezwa Kante alizungumza na uongozi wa Chelsea na kuuthibitishia kubaki lakini akaomba alipwe mshahara wa kawaida kabisa.

Kante mwenye umri wa miaka 27, alionekana kuishitua Chelsea baada ya klabu kutoka nchini kwao Ufaransa ya PSG kuonyesha nia ya kumrejesha nchini humo.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic