BREAKING NEWS: CLOUDS FM WAAHIRISHA TAMASHA LA FIESTA DAR LEO
Na George Mganga
Uongozi wa Clouds Media Group kupitia Radio yake "Clouds FM' umetangaza kuahirisha tamasha lake la FIESTA ambalo lilipaswa kufanyika leo jijini Dar es Salaam.
Clouds wameeleza sababu zilizo nje ya uwezo wao zimepelekea tamasha hilo kutofanyika kama ambavyo ilipangwa liwe leo Novemba 24 2018.
Aidha, uongozi umesema watu wote waliokuwa wamenunua tiketi zao watarudishiwa fedha zao kupitia vituo walivyonunuliwa na kwa njia ya TIGO Pesa.









TAYARI MAMLAKA MWAKA JANA ILISHASEMA ENEO HALIFAX KWA SHUGHULI ZA MATAMASHA VIPI LEO MMERUDIDI TENA
ReplyDelete