November 7, 2018


Leo Jumatano, Novemba 7, 2018, mkali wa ngoma ya Mwambie Sina, Alalikiba ametoa majibu yake kuhusu mwaliko aliyopewa na CEO wa WCB, Diamond Platinumz kushiriki katika Tamasha la muziki, Wasafi Festival 2018 linalotarajiwa kuanza November 24, mwaka huu katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania na nje ya nchi.

Kupitia, ukurasa wake wa Instagram, King Kiba ameshukuru kupokea mwaliko huo kutoka WCB na kudai kuwa hatoshiriki kwenye Tamasha hilo kwa sasa kutokana na kuwa na ratiba zake za uzinduzi wa kinywaji chake cha MoFaya na hivyo kusema atashiriki Tamasha hilo kwa kudhamini kupitia kinywaji chake hicho cha MoFaya.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic