November 27, 2018


Timu ya Mbabane Swallows FC ya Swaziland imetia timu jiji la Dar es Salaam tayari kwa ajili ya kuvaana na Mabingwa watetezi Simba katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa na leo wamefanya mazoezi katika uwanja wa Taifa.

Kikosi hicho ambacho kinaaminika kutumia sana viungo ambao wapo makini kumiliki mpira kitu ambacho kinawapasa Simba wawe makini kwenye mchezo wao wa leo.

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa wamejipanga kiasi cha kutosha ili waweze kuibuka na ushindi kwa kuwa ni muhimu kushinda nyumbani ili kupunguza presha kwa wachezaji.

1 COMMENTS:

  1. This is simba bhana,wanakula mkono hao kesho,kariobang shake wamepiga mtu 6 shirikisho.huu ni mwaka wa east coasts.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic