November 8, 2018


Kikosi cha Simba jana kimeendelea na mazoezi kwa ajili ya kuzidi kujiweka fiti kuelekea mechi zijazo za Ligi Kuu Bara.

Katika mazoezi hayo, beki Yusuph Mlipili alionekana katika mazoezi ya jana baada ya kutokuwepo kwa wiki kadhaa.

Mlipili alitua mazoezini Simba ikiwa ni baada ya kutokuweka na kuelekea pasipojulikana lakini Kocha Mbelgiji, Patrick Aussems alimpokea tena kwenye mazoezi na kuendelea kujifua.

Simba imejifua jana bila ya uwepo wa nyota wake, Aishi Manula, Emmanuel Okwi, Erasto Nyoni na wengine ambao wameitwa Taifa Stars kwa ajili ya majukumu ya kitaifa.

1 COMMENTS:

  1. Duh! kweli Dunia kigeugeu; yaani huku ambao hawakuwepo wanaongezeka kikosini, lakini kwa jirani ambao walikuwepo wanapungua kikosini!.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic