November 8, 2018


Bodi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imevipangia tarehe mechi za viporo za Yanga ambazo zote zitachezewa nje ya Dar es Salaam.

Ratiba hiyo inaonesha Yanga itakuwa na kibarua kwenye Uwanja wa CCM Kambarage kucheza dhidi ya Mwadui FC Novemba 22.

AIdha, siku mbili baadaye Yanga itapaswa kuwa mjini Kaitaba, Kagera kukipiga na walima miwa wa mkoani humo, Kagera Sugar.

Viporo hivyo vya Yanga vimetoka na kuchelewa kuanza ligi ambapo timu ilikuwa katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

6 COMMENTS:

  1. HIZI ratiba nyingine ni za kukomoana tu,ucheze trh 22 shinyanga Kisha ucheze bukoba trh 25,huu upuuzi wa tff kwa yanga umeanza Tena.

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. TFF kweli imekosa weredi ratiba zinapangwa kishabiki tutafika kweli?

    ReplyDelete
  4. Replies
    1. Kuna kipindi walisubiri kichache kumbe kikawa km kisamvu kikichacha ndio kinanoga

      Delete
  5. Hapo ndipo tutakapoanza kuyahakiki yale maneno ya Kocha kuwa "Tuna kikosi kipana". Hizo mechi mbili mkifanikiwa kutoka na point mbili! kweli ubingwa mtauchukua, la sivyo point tano mnaziacha kanda ya ziwa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic