November 28, 2018

Muwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji 'Mo' ametinga uwanja wa Taifa kuwashuhudia mabingwa wa Simba wakicheza kwenye mchezo wa Ligi ya mabingwa ddhidi ya Mbabane Swallows FC.

Mo alianza kuwasalimia mashabiki wa Simba ambao walilipuka kwa shangwe na furaha kubwa kutokana na uwepo wa muwekezaji huyo uwanjani.


Kwa mara ya kwanza anarejea kwenye uwanja wa michezo tangu apatwe na matatizo ya kutekwa na watu wasiojulikana, aliweza kuwasalimia wachezaji akiongozana na Mbunge wa Ilala Hassan Issa 'Zungu'.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic