November 13, 2018





Timu ya Shinda Zaidi na SportPesa imebisha hodi eneo la Kihonda Maghorofani mji kasoro bahari mkoani Morogoro kwa nia ya kumkabidhi mshindi wa pronmosheni inayoendeshwa na kampuni ya michezo ya kubashiri nchini SportPesa. Cliff Makau (23) ni mshindi wa droo ya 43 ambaye alikabidhiwa bajaji yake siku ya Ijumaa na wawakilishi kutoka SportPesa.


Criff Makau akiwa na nyuso ya tabasamu aliipokea timu ya Shinda Zaidi na SportPesa kwa matumaini makubwa huku akipagawa kwa furaha maana alikuwa haaamini kama Bajaj hii itamfikia mpaka Morogoro


Akizungumza mbele ya majirani, marafiki pamoja na wawakiloishi kutoka SportPesa SportPesa Makau alisema “Siku ambayo nimeshinda niliweka mikeka mitano lakini bahati mbaya yote hakufanikiwa kushinda kwa bahati nzurii kesho yake nikapokea simu kutoka SportPesa kuwa nimeshinda Bajaj.”

"Karibuni sana nimefurahi kuwaona nakumbuka tangu nimeanza kucheza SportPesa ushawishi mkubwa niliupata kwa mdogo wangu na yeye ndiye aliyenifundisha kucheza kiukweli hizi zimekuwa habari njema kwangu, nina mambo mengi sana ya kufanya kwenye maisha maana mimi ni mjasiriamali hivyo kupitia Bajaj hii mambo mengi sana yatabadilika kwangu.


Aidha Makau alisema anajishughulisha na ufugaji wa kuku huku ndoto yake kubwa ikiwa ni kufuga kuku zaidi ya mia tatu.


"Mimi pia upande mwingine nafuga kuku napenda sana kufika mbali lakini nilikuwa sijapata mtaji wa kuniwezesha kuongeza kuku wa kutosha na vifaa vya kisasa ambavyo vitanisaidia  kwenye ufugaji ila sasa bajaj hii itanifanya nifikie kwenye malengo niliyojiwekea, nawaomba sana watanzania tucheze SportPesa huku hakuna longo longo ukishinda utapata kitu chako kwa wakati na bado unapata nafasi ya kuingia kwenye droo ya bajaj chezeni sana maana hata mimi sikufikiria kama ningemiliki bajaj yangu" alisema Makau.

Mbali ya hapo mshindi huyo anasema hatateseka tena na bili za umeme matumizi ya nyumbani sambamba na ada ya watoto shule.

“Siri ya ushindi ni rahisi sana unachokifaya kupitia simu yako ya mkononi unapiga *150*87# unajisajili unaweka pesa na kuanza kucheza au unaweza tembelea tovuti yetu www.sportpesa.co.tz hapa pia utacheza na timu ya ushindi ambayo si nyingine bali SportPesa” alimaliza Makau

Kwa upande wa SportPesa Meneja Uhusiano Sabrina Msuya alisema “Kucheza na SportPesa ni faida kwa mteja wetu kwani mbali na kujishindia zawadi mbalimbali kama Bajaji, Jersey, Simu ya mkononi pamoja na safari ya kwend akushuhudia mechi zinazoendelea kwenye ligi ya Uingereza na Hispania mteja anaweza kushinda pesa mara baada ya kuweka ubashiri sahihi kwenye mechi au michezo aliyochagua.”


“Promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa imeshawazawadia washindi 52 Bajaji mpya kabisa na zaidi ya washindi 115 wa Jezi za simba na yanga pamoja na Simu za mkononi”




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic