November 13, 2018


Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz amemuambia Rais John Magufuli kwamba ni Yanga damu.

Rostam amemuambia Rais Magufuli alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam. Wakati wakiagana Rais alimuuliza yeye ni timu gani.

"Wewe ni Yanga, au Simba au sijui timu gani," aliuliza Rais Magufuli.

"Mimi ni Yanga," alijibu maramoja Rostam.

Kabla alikuwa amemshukuru vizuri Rais Magufuli kwa kutenegeneza misingi itakayosaidia kukua kwa uchumi sahihi.

"Kunatengenezwa misingi bora ya kukua kwa uchumi, ili kuwe na usawa na uchumi uweze kukua vizuri na kwa usahihi kuliko ilivyokuwa hapo awali," alisema Rostam.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic