November 12, 2018


Klabu ya Real Madrid, imemtangaza Santiago Solari kuwa kocha wa Real Madrid mpaka mwisho wa msimu huu. 

Scolari aliteuliwa kuwa kocha wa muda kuchukua nafasi ya Julen Lopetegui
ambaye alitimuliwa. 

Santiago Solari ameingoza Real Madrid katika mechi 4 na kushinda zote kwa kufunga magoli 15 na kufungwa magoli 2.

Kuna uwezekano Scolari akawa Kocha Mkuu hapo baadaye endapo atazidi kufanya vizuri ndani ya miamba hao wa Real Madrid.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic