Baada ya Shirikisho la Mpira Tanzania, (TFF) jana kutoa taarifa kuhusu kubadilisha ratiba za mechi ambazo zilipangwa kuchezwa kuanzia saa 12:00 jioni kurudishwa nyuma mpaka saa 10:00 jioni, leo wametoa taarifa nyingine kuhusu kuendelea na ratiba kama ilivyokuwa.
Ama kweli mwaka huu mmeamua kupambana na Yanga. Masaa kadhaa kabla ya game mnabadilisha ratiba hadi waxhezaji wamecheza bila kula, kesho yake ratiba zinarudishwa palepale.
Huhitaji kipaji kuelewa huo mchezo
ReplyDeleteDuh this is TFF
ReplyDeleteAma kweli mwaka huu mmeamua kupambana na Yanga. Masaa kadhaa kabla ya game mnabadilisha ratiba hadi waxhezaji wamecheza bila kula, kesho yake ratiba zinarudishwa palepale.
ReplyDeleteSasa na wenyewe hao Yanga, iweje hadi saa tisa mchana haujala lunch?
DeleteAlafu mtupe mrejesho kuhusu MDHAMINI WA LIGI vip?????
ReplyDeleteHawa ndio wasimamizi tunaotarajia wakuze soka!!
ReplyDelete