November 5, 2018





Mshambuliaji Thomas Ulimwengu yuko katika mazungunzo ya mwisho ili avunje mkataba na klabu yake ya Al Hilal.

Taarifa zinaeleza Ulimwengu ameomba kuondoka Al Hilal baada ya kupata timu nyingine. Lakini klabu hiyo inataka imeonyesha kumtaka abaki.

Juhudi za kumpata Ulimwengu hazijafanikiwa, lakini imeelezwa mazungumzo na makubaliano au la yatakamilika leo.

“Kweli yuko katika mazungumzo ambayo yalianza juzi na leo yanatarajia kukamilika. Baada ya hapo tutakuwa na jibu,” alisema mmoja wa wanayefanya naye kazi.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic