November 11, 2018


Msanii wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Konki Master’, amesema hajafurahishwa na majibu ya Msanii mwenziye, Alikiba, aliyomjibu Diamond Platnumz, juu ya kumtaka ashiriki kwenye tamasha lake la Wasafi Festival litakaloanza Novemba 24, huko mkoani Mtwara.

Diamond alimuomba Kiba ashiriki katika Wasafi Festival lakini Kiba kupitia ukurasa wake wa Instagram alimjibu kuwa, kwa sasa ana majukumu mengi ya kuzindua kinywaji chake cha Mofaya katika nchi jirani ila atakachoweza ni kudhamini tamasha hilo kupitia kinywaji hicho, jibu ambalo wengi walilichukulia kama dharau.


VIDEO: MSIKIE DUDU BAYA AKIFUNGUKA

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic