November 20, 2018


Nyota wa zamani wa Simba na Taifa Stars Zamoyoni Mogella amefunguka kuwa yeye ni Simba damu lakini alijikuta akiichezea Yanga kwa kulazimishwa. 

Mogella amekwenda mbali zaidi na kumzungumzia mchezaji wa Yanga Ibrahim Ajibu ambaye alisajiliwa na Yanga akitokea Simba, ambapo amefichua kuwa Ajibu ni ndani ya moyo wake ni Simba damu kama ilivyokuwa yeye lakini amekwenda Yanga kwa kulazimishwa. 

Hii ni sehemu ya pili ya mahojiano ya nguli huyo wa soka wa zamani kwenye kipindi hiki na kuna mengi amezungumza ikiwemo kukumbushia jinsi ilivyokuwa siku yake ya kwanza kuvaa jezi ya Yanga. Asema “Nilikuwa nimeshajiapiza kuwa sitavaa jezi ya Yanga kabisa”.

2 COMMENTS:

  1. Hii blog inapaswa kufungiwa kwa kuandika Habari za uongo, mogela alisema ajibu alienda yanga kwa kulazimishwa kama yy na sio kwamba alilazimishwa na yy muache ukanjajaj

    ReplyDelete
  2. mnaandika habari za uchochezi na kugombanisha watu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic