November 20, 2018


Hit maker wa ngoma ya GO Gaga, Lavalava, kutoka WCB, amesema amefurahi sana kwa menejiment yake kuandaa tamasha la Wasafi Festival kwani litatoa fursa kwa wasanii wengine wachanga kupata nafasi ya kuonesha vipaji vyao.

Lavalava amesema amesikia kuwa Mwanamuziki mwenziye Alikiba kupitia kinywaji chake cha Mofaya, ameamua kudhamini tamasha hilo ambapo amesema hajapata uhakika kama ni kweli ila ni jambo zuri sana kibiashara.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic