November 18, 2018


Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limetoa kauli kuhusiana na video ya Mwanza ya Rayvanny akimshirikisha Diamond Platnumz baada ya video hiyo kurudishwa katika mtandao wa YouTube na Rayvanny June 15.

Basata wamekanusha taarifa zinazoenea katika mitandao kwamba video hiyo imeruhusiwa huku akimtaka Rayvanny na Uongozi wake kuifuta video hiyo haraka katika mtandao wa YouTube

Aidha baraza hilo limetoa onyo kali kwa msani huyo na kumtaka atoe nyimbo hiyo haraka kabla hawajamfungia kujihusisha na sanaa moja kwa moja.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic